Narges Abyar
Mandhari
Narges Abyar (Kiajemi: نرگس آبیار, pia anajulikana kama Narges Ābyār; alizaliwa 8 Agosti 1970) ni mkurugenzi wa filamu, mwandishi na mtunzi wa script kutoka Iran.
Anajulikana zaidi kwa uongozaji wa filamu Track 143, Breath, na When the Moon Was Full. Filamu ya Track 143 imeandaliwa kutoka kwa riwaya ya Abyar iitwayo The Third Eye, inayosimulia hadithi ya mwanamke na mtoto wake wakati wa vita. Filamu zake zinaonesha kwa uangalifu mateso ya wanawake na watoto kutokana na jamii, vita au itikadi kali.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "ایده اصلی فیلم شیار ۱۴۳ را از کتاب چشم سوم گرفتم". Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Narges Abyar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |