Nancy Wake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nancy Wake Mwaka 1945

Nancy Grace Augusta Wake (Alizaliwa Agosti 30, 1912 na kufariki Agosti 7, 2011) pia anajulikana kama Madame Fiocca au Nancy Fiocca, alikuwa muuguzi na mwandishi wa habari ambaye alijiunga na French Resistance na baadae alikua mtendaji mkuu wa Operesheni wakati wa vita ya pili vya dunia, aliendelea kua kama afisa wa ujasusi katika idara ya wizara ya anga. Mwanahistoria wa SOEM. R. D. Foot, alisema kwamba Nancy alikua na roho isiyozuilika, iliyoshawishi na kuleta furaha kwa watu wote aliokua anafanya nao kazi[1]. Hadithi nyingi kuhusu kazi na shughuli zake katika kipindi cha vita vya Pili vya dunia zinatokana na wasifu wake, The white House.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Vitello, Paul (2011-08-13), "Nancy Wake, Proud Spy and Nazi Foe, Dies at 98", The New York Times (kwa en-US), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2024-04-29