Nana Klutse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nana Ama Browne Klutse Akiwa ofisini kwake katika Chuo kikuu cha Ghana.
Nana Ama Browne Klutse Akiwa ofisini kwake katika Chuo kikuu cha Ghana.

Nana Ama Browne Klutse (alizaliwa mei 23,1981) Ni muhadhiri na mtabiri wa hali ya hewa nchini Ghana.

Maisha yake ya awali na historia ya elimu yake[hariri | hariri chanzo]

Nana Ama Browne Klutse alizaliwa mnamo tarehe 23 mei 1981 uko Nyanfeku Ekroful.Alipata elimu yake ya msingi huko Anomabo Methodist na JHS.[1]

Aliendelea katika shule ya sekondari ya Wasichana Mfantsiman na baadae alijiunga na Chuo Kikuu Cha Cape Coast huko Ghana na kusoma Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya fizikia. Pia alisoma Shahada ya Uzamivu katika fani ya masuala ya hali ya hewa ya Chuo Kikuu Cha Cape Town huko Afrika Kusini.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nana Klutse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

[[Jamii:walio hai] [[Jamii:Digienvironment]