Nana Akua Oppong Birmeh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nana Akua Oppong Birmeh (alizaliwa 1981/1982)) ni fundi sanifu wa majengo kutoka nchini Ghana na ni mshindi wa tuzo za mwaka 2017 za Forty under 40 za ufundi sanifu wa majengo huko Ghana[1]. Mwana 2017 alitajwa na televisheni ya BBC katika orodha ya BBC`s 100 women[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]