Nadharia tete ya mgusano
Mandhari
Nadharia tete ya mgusano (kwa Kiingereza: "Contact Hypothesis") inasema kwamba ili kuboresha uhusiano kati ya vikundi viwili njia ni kuanzisha mgusano kati yao.
Bibliografia
[hariri | hariri chanzo]- Gordon W Allport, The Nature of Prejudice, Reading, Mass : Addisson-Wesley, 1954
- Rupert Brown, Prejudice, Its Social Psychology, Blackwell, Oxford UK et Cambridge USA, pages 236-270, 1995
- Thomas F Pettigrew, Intergroup contact theory, Department of psychology, University of California, Santa Cruz, California, pages 65-85, 1998
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |