Nenda kwa yaliyomo

Nadar Tabaax Maalin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nadar Tabaax Maalin (kwa Kiingereza: Nadar Tabah Malin) ni mwanasiasa wa Somalia ambaye aliwahi kuwa meya wa Beledweyne kuanzia tarehe 30 Julai 2020 hadi 3 Machi 2024. [1]

  1. "Nadar Tabaax Maalin", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-08-23, iliwekwa mnamo 2024-09-28