Nenda kwa yaliyomo

Nabila Mounib

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nabila Mounib (Kiarabu: نبيلة منيب; 14 Februari 1960) ni mwanasiasa wa Moroko ambaye kwa sasa anahudumu kama Katibu Mkuu wa Umoja wa vyama vya ujamaa(PSU).Ni mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kama mkuu wa chama cha Moroko.[1]

  1. "Biographie et actualités de Nabila Mounib France Inter". www.franceinter.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nabila Mounib kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.