Nenda kwa yaliyomo

Mzeru Omari Nibuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mzeru Omari Nibuka (amezaliwa tar. 10 Mei 1954) ni mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Mzeru Omari Nibuka". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.