Mundu S.C.
Mandhari
Mundu SC ni klabu ya mpira wa miguu kutoka Zanzibar ilioko Nungwi karibu na Unguja Afrika Mashariki. Ni moja kati ya klabu tatu kubwa za mpira wa miguu Unguja.
Kwa sasa timu ipo kwenye mashindano ya michuano ya ligi Zanzibar.[1][2]
Klabu ilishiriki mashindano ya kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza mwaka 2007.[3][4]
Uwanja
[hariri | hariri chanzo]Kwa sasa timu inacheza katika uwanja wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 5000 Unguja Park.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mundu S.C. "Official Website of Mundu S.C." Mundu S.C. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-10. Iliwekwa mnamo 29 Novemba 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Soccerway. "Mundu S.C. Team Profile". Soccerway. Iliwekwa mnamo 29 Novemba 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://scoreshelf.com/rmgb/en/Mundu_SC/CAF_Confederation_Cup Profile
- ↑ IPPMedia. "Mundu S.C. Achievements". IPPMedia. Iliwekwa mnamo 29 Novemba 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mundu S.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |