Nenda kwa yaliyomo

Mukesh Chandrakar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mukesh Chandrakar (19931 Januari 2025) alikuwa mwandishi wa habari kutoka jimbo la Chhattisgarh, India. Inadaiwa aliuawa kwa kugundua na kufichua rushwa katika mradi wa maendeleo ya barabara. [1]

  1. Ellis-Petersen, Hannah (2025-01-06). "Indian press groups call for investigation after journalist's body found in septic tank". The Guardian (kwa Kiingereza (Uingereza)). ISSN 0261-3077. Iliwekwa mnamo 2025-01-06.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mukesh Chandrakar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.