Mtumiaji:Willson Japhet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

WILLSON JAPHET

Ni kijana wa Tanzania alzaliwa mkoani Mara wilaya ya Bunda kijiji cha Sarawe mnamo tarehe 06 mwezi june mwaka 1996.
 Alianza masomo yake ya awali na msingi katika shule ya msingi GONGO LA MBOTO JESHINI, 

akiwa chini ya malezi na usimamizi wa baba yake mdogo aitwaye JAPHET WILLSON KIHILI.

 Mnamo mwaka 2007 akiwa darasa la tano mwezi wa pili mlezi wake huyo alifariki dunia, hvyo ikamlazimu kuhamia kijijini SARAWE kwa mama yake mzazi aitwaye NYANGIGE NYAMWEKO KIKOMBE na kuweza kumalizia masomo yake ya elimu ya msingi mwaka 2009 na mwaka 2010 alijiunga na shule ya sekondari MAKONGORO na kuendelea na elimu ya upili.
 Mwaka 2013 aliweza kuhitimu na hakufanikiwa kuendelea kimasomo, mwaka 2014-01-16 aliweza kusafiri kutoka Mara akaelekea MOSHI kuonana na Baba yake mzazi ambaye ni JACKSONI WILLSON KIHILI.