Mtumiaji:Wawanjohi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mimi ni Damiano Wanjohi. Nina umri wa miaka ishirini na minne. Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuuu cha Nairobi mwaka wa nne nikisoma sayansi ya kompyuta.

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)