Mtumiaji:Steven john mbalasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukitazama hali ya kilimo na mifugo nchini tanzania si nzuri nikwasababu ya ukosefu wa mvua hii inapelekea mazao kufa pamoja na mifugo yetu kufa tatizo hili linahitaji kushughulikiwa na sisi wananchi wa Tanzania ntunahitajika kutunza mazingira yetu hii ikijumuisha na upandaji wa miti mingi kutunzavyanzo vya maji nakutumia maji vizuri katika kazi mbalimbali hasa kazi za kilimo ili kuepusha janga la njaa katika nchi yetu mifugo yetu kupata chanjo ni muhimu ili kuikinga na magonjwa mabaya na kuiweka safi kiujumla tatizo la mvua linaikumba ulimwengu mzima kutokana na maendeleo ya sayansi na teknologia kimsingi tuzingatie sana mazingira yetu ili kutatua tatizo hili bila kusahau kumtanguliza mungu wetu