Mtumiaji:Simon wanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mimi naitwa Simon Wanda, B.Ed Kenyatta. Nina uzoefu mwingi katika tafsiri na kompyuta. Nimefanya kazi ya kutafsiri programu za kompyuta za OpenOffice (Kilinux), Kiswahili Living Dictionary na PALDO http://www.afrik.com/article17023.html. Hivi majuzi, nimekuwa mshiriki mkuu wa tafsiri ya Facebook katika lugha ya Kiswahili. http://news.bbc.co.uk/mobile/i/bbc_news/africa/810/81002/story8100295.shtml Nimeingia katika mradi huu ili kutafsiri kwa ajili ya kujifurahisha kwani ni kazi ninayofanya pindi nikinafasika.

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Kenyatta.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)