Mtumiaji:Shaibu ngonyani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shaibu zuberi ngonyani Ni kijana alizaliwa tarehe 15 febuary 02 mwaka 1996. Huko kijiji kwake Mgombasi wilayani Namtumbo mkoa Ruvuma. Ni mtoto wa pili katika watoto watano kwa mama yao. Ambapo wakwanza wake ni dada yake aitwaye mwajibu na mdogo wake issa, pia shedrack pamoja na Nasra kwa upande wa Elimu Alinza shule ya msingi Mgombasi mwaka 2005 na kumaliza mwaka 2011 na kubahatika kufaulu kwenda sekondari mwaka 2012 na kumaliza 2015 na kwenda kusomea eletrical engeneering katika chuo archdiocese of songea vtc. Imani yake katika maisha anaamini kuwa ili mtu afanikiwe lazima ajitambue kwanza mtu mwenyewe ndipo mafanikio yatakuja baadae Maana mafanikio sio kitu rahisi