Mtumiaji:Seifh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Lugha Yangu
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.

Naitwa Hilal S. Mohamed, Ninafanyakazi kitengo cha sayansi ya kompyuta, Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam, Tanzania kama Senior Systems Administrator.