Mtumiaji:Segyjoe/Cecile Canqueteau-Landi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cecile Canqueteau-Landi (alizaliwa Oktoba 3, 1979) ni kocha wa Sarakasi wa Kifaransa na alikuwa mwanasarakasi wa kisanii. Alishindana kwenye Olimpiki ya mwaka 1996[1] na sasa ni kocha kwenye kituo cha World champions Centre huko Springs, Texas.[2] Alikuwa kocha kuanzia mwaka 2007 mpaka 2017 kwenye chou cha World Olympic Gymnastics Academy.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://woga.net/meet-the-staff/coach-cecile-canqueteau-landi/
  2. "Gymnastics Training Center: Gymnastics & Kids Tumbling Classes". www.worldchampionscentre.com. Iliwekwa mnamo 2022-12-10.