Mtumiaji:Salim mzuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

HISTORI YANGU JINA langu naitwa salimu athuman nimezaliwa tarehe 2,5,1997 katika makoa wa kilimanjaro wilaya ya moshi manispaa mtaa wa majengo mapya baba yangu anaitwa athuman mzaliwa wa moshi mjini kabila mnyaturu na mama yangu chausiku kabila myamwezi maisha yangu yameanza kukaa na baba na mama baada ya kufikisha miaka minne baba yangu na mama yangu wakaachana na mimi nikaaenda kwa mama yangu huko katika kijiji chao cha kikavu na kuanza maisha mapya na mama yangu baada ya miezi kadhaa nikapelekwa shule ya awali mwaka 2002 shule itwayo mkababuni milisoma miezi michache na kuchukuliwa na baba yangu kurudishwa mjini ambako alikuwa ameoa mke mwingine kufika nilikaa na yule mama na kumfanya kama mama yangu baada ya mwaka mmoja nikapelekwa shule ya awali 2003 nakuanza kusoma ikifikia likizo nakwenda kusalimia mama yangu mzazi itaendelea,,,,,