Mtumiaji:Salehe Adinan/Melissa Gentile
Mandhari
Melissa "Skeeter" Gentile ni mkufunzi wa mpira wa laini wa Amerika. Ambaye alikuwa kocha mkuu wa zamani katika Michigan ya Mashariki.[1]
Maisha ya Awali na Elimu
[hariri | hariri chanzo]Gentile alihitimu kutoka Shule ya sekondari ya Wentzville. Alichezea Michigani mpira wa laini kuanzia mwaka 1996 hadi 2000, ambapo alikuwa mshindi wa barua kwa miaka minne. [2] Alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Michigan mnamo 2000 na Shahada katika kinesiolojia. Alipata shahada yake ya uzamili katika utawala wa riadha kutoka Chuo Kikuu cha Central Michigan mwaka wa 2005.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "de Vos, Niels, (born 27 March 1967), Chief Executive Officer: UK Athletics, since 2007; 2017 World Athletics Championships, since 2011", Who's Who, Oxford University Press, 2007-12-01, iliwekwa mnamo 2022-12-10
- ↑ Chudacoff, Howard P. (2017-04-20). ""Earthquake": Board of Regents v. NCAA". University of Illinois Press. doi:10.5406/illinois/9780252039782.003.0005.
- ↑ "de Vos, Niels, (born 27 March 1967), Chief Executive Officer: UK Athletics, since 2007; 2017 World Athletics Championships, since 2011", Who's Who, Oxford University Press, 2007-12-01, iliwekwa mnamo 2022-12-10