Mtumiaji:SEBA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


Stephano Seba ndio jina langu. Ninasoma shahada ya kwanza ya sheria katika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Kwa kuwa nimedahiliwa hapa chuoni mwaka 2006, huu ni mwaka wangu wa nne wa masomo.