Mtumiaji:Ruth Wambua - Mutua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)




Mimi ni mkaazi wa Nairobi, Kenya. Kiswahili yapaswa kuwa ndio lugha ya taifa humu nchini Kenya, lakini yaonekana ya kwamba Kiingereza ndio lugha ambayo imekita mizizi humu! Natumai ya kwamba matokeo ya shindano hili yatasaidia sana kuimarisha lugha hii tukufu ya Kiswahili.