Mtumiaji:Rufw91
Mandhari
Jina Langu ni Raphael Muindi mzaliwa wa ukambani. Nilizaliwa mwaka 1991 katika wilaya ya machakos. Nimesomea shule ya msingi ya Tala township na shule upili ya machakos na baadaye nikahamia Brookshine school. Sasa hivi niko chuo kikuu cha Nairobi Chiromo Campus. Pendo langu kwa lugha ya Kiswahili ni la kuaminika...