Mtumiaji:Rufin Wakilongo/Sophie Basenga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
{{{jinalamchezaji}}}
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 9 Septemba 1993 (1993-09-09) (umri 30)[1]
Mahala pa kuzaliwa    {{{nchialiozaliwa}}}

* Magoli alioshinda

Sophie Basenga Kadima amezaliwa 9 Septemba 1993). Anayejulikana kama Sophie Basenga, yeye ni mwanasoka kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza kama mshambuliaji . Amekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya DR Congo.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Basenga alichezea Kongo katika ngazi ya juu wakati wa Mashindano ya Wanawake ya Afrika ya 2012 . [2]

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

  • Orodha ya wanasoka wa kimataifa wa wanawake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Marejeleo[hariri | hariri chanzo]

  1. "List of players of the 8th African Women Championship, EQUATORIAL GUINEA 2012" (PDF). cafonline.com. 2012. uk. 14. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 22 Februari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "8th African Women Championship - Match No 2" (PDF). CAF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 21 Septemba 2013. Iliwekwa mnamo 2 Agosti 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Kigezo:DR Congo squad 2012 African Women's Championship

[[Jamii:Watu walio hai]] [[Jamii:Waliozaliwa 1993]]