Mtumiaji:Polycap

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwa majina naitwa Polycap Adicka.Mimi ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Kenyatta(Kenya) ambapo ninafanya kozi katika shahada ya elimu.Nilizaliwa katika Mkoa wa Nyanza,Wilayani Rachuonyo.Nina ujuzi wa Kiswahili,Kingereza na Kijaluo. Ninashiriki katika shindano hili ili niweze kuwafaidi wapenzi wa Kiswahili kutokana habari nyingi zinazopatikana katika mtandao.Ninapenda fasihi hasa ya Kiswahili pamoja na machapisho mengine kama vile magazeti na majarida.Naionea fahari lugha ya Kiswahili.

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Kenyatta.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)