Mtumiaji:Paul~swwiki
Mandhari
| Lugha |
|---|
Mimi Paul Gidion ni mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam ninayesoma shahada ya Sayansi ya tarakilishi na takwimu. Ninapenda sayansi na tekinolojia, lugha, muziki na wakati mwingine siasa.
| KWC | Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. |
| KWC | Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009. (Submissions) |