Mtumiaji:Obed Ndalahwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Obed Lenartus Charles Ndalahwa Ni Mtangazaji (Broadcaster), Mwandishi,Mwongoza Filamu (FilmDirector) ,mfanyabiashara (businessman) Kutoka Nchini Tanzania Mwanzilishi Wa Online Media Dibea TV Inayojiuhusisha Na Utoaji Habari Mitandaoni 'Uzalishaji Maudhui

Ni mwanzilishi Wa Taasisi Isiyoyakiserikali Non government organisation DIBEA FOUNDATION Pia Ni mfanyabishara Katika Brand yake iitwayo DIBEA TANZANIA Akiwa Mmiliki Na Muhasisi wa Brand SONCHAZI

Amezaliwa 06.10.2001 Wilayani Butiama ,Mara Tanzania Mnamo mwaka 2007 alianza shule katika shule ya msingi Kinyariri Primary School Akahitimu 2014 Darasa La Saba

Akiwa shuleni alipenda kuchora picha na kujizolea Umaarufu mkubwa Shuleni Apo akichukuliwa na walimu kwenda kuchora ramani ubaoni baadae alizidi kuchora Sana Obed licha yacha ya kuchora alikua akipenda kucheza mpila wa miguu mpaka kupelekea kua katika timu ya shule mnamo 2014 wakiwa darasa la saba katika michuano ya umitashumita

Obed Ujulikana sana mtaani alipozaliwa na kukulia kwa jina la "ABEDI" jina ambalo la utaji akitaniwa Abedi amani karume Pia Kupitia michezo watoto wenzake walimpa jina DIBEA jina ambalo ni kinyume cha jina Abedi yaani ukigeuza herufi Unapata Dibea

Baadae alipofaulu akajiunga na kidato cha kwanza mnamo 2015 shule iitwayo buhemba seconsary school alisoma na akahitimu mnamo 2018 alifaulu na kujiunga kidato cha tano katika shule iitwayo mara secondary yalipo makao makuu ya mkoa mjini wilayani musoma akisoma masomo ya sayansi mnamo 2019 akahitimu 2021

Wakati yupo masomo ndipo alitambua anapenda kutangaza na kuandika makala mbali mbali ndipo alipata kufuatilia uelewa juu ya online media television za mitandaoni ndipo akaanzisha television yake akaipa jina DibeaTV hivi sasa inapatikana youtube