Mtumiaji:Novemba17
Geofrey meshack senyagwa alizaliwa tarehe 17 mwezi wa 11 mwaka 1994 mkoa wa morogoro wilaya ya kilosa kata ya berega kijiji cha kiegea ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto wawili mtoto wa kwanza ni rose meshack senyagwa baba yake ni meshack azaria senyagwa na mama yake ni peris daimoni mtata , Alianza shule ya mshingi kiegea mwaka 2002 na kumaliza 2008 alichaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari katika shule ya kata ya mabula 2009 hadi 2012 alijunga na chuo cha ufundi wa kompyuta mwaka 2016 hadi 2018 katika chuo cha DATASTAR TRAINING COLLEGE kichopo shauri moyo, ilala, jijini dar es salaam.ni mtaalam wa kompyuta yaani tehama .ni baba wa watoto wawili wakwanza anaitwa caren geofrey senyagwa aliyezaliwa tarehe 27 /01/2023 na wa pili anaitwa cailyne geofrey senyagwa aliyezaliwa tarehe 23/11/2025 alizaa na Binti wakislamu anaitwa husna omary bakary