Mtumiaji:NiaKiswahili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makumbusho ya Mombasa, Kenya[hariri | hariri chanzo]

Fort Yesu

Fort Yesu kihistoria ni maarufu sana katika nchi ya Kenya, Afrika Mashariki, na Afrika yote pia. Fort Yesu iko juu ya Kisiwa cha Mombasa. Ilijengwa kulinda bandari ya Mombasa. Ilichorwa na Kiitaliano ambaye anaitwa Giovanni Balttista Cairati. Alichora Fort Yesu kutoka miaka elfu kumi na tano na tisini tatu mpaka elfu kumi na tano na tisini sita. Fort Yesu imekuwa kudumisha kwa watu wa Ureno. Giovanni Balttista Cairati alitiwa msukumo kwa kazi na sanaa wa Kiitaliano ambaye anaitwa Pietro Cataneo. Ingawa Fort Yesa ilichorwa na Waitaliano, watu wa Kiswahili walitoa nyenzo na vifaa, kazi ngumu, na nguvu ya mtu. Fort Yesu umeumbwa kuona kama mtu wakati ilipojifunzwa kutoka hewa. Fort hii ilitwaa mara tisa mpaka miaka elfu kumi na sita na thelathini na moja na elfu kumi na nne na tisini na tano. Wakati huu, Fort Yesu ilijengwa tena na ilichorwa mara nyingi. Makumbosho haya yaliathiri kwa watu wa Afrika, Kiarabu, Kituruki, Kiajemi, na Ulaya. [1]


Leo, Fort Yesu ni mahaili maarufu sana kwa wageni na watalii kutoka dunia nzima. Fort Yesu ina programu nyingi kwa utafiti. Ina Maabara ya Hifadhi, Idara ya Elimu, na Ofisi ya Elimu pia.

[2]

Fort Jesus (Mombasa, Kenya)


Makumbusho Rabai

Makumbusho ya Rabai ni inaitwa Krapf Kumbukumbu Makumbusho pia.. Makumbusho Rabai ni mzee sana. Ni iko katika Mombasa na ni mahali pa kihistoria sana. Watu wengi hutembelea makumbusho haya wakati kila siku kwa sababu ni maarufu sana. Makumbusho ya Rabai ni jingo la  kitaifa. Ilikuwa mahali kwanza ambapo Ukristo iliweka katika Kenya. Makumbusha hava ilikuwa mahali wapi Kanisa ya Kikristo kuweka katika Kenya pia katika mwaka wa elfu kumi na nane na arobaini na sita. Ilijengwa na  wamishonari walitoka Kenya. Makumbusho ya Rabai ilikuwa kanisa kwanzaa katika nchi wa Kenya na ilisaidia kueneza Ukristo katika nchi ya Kenya. Ilitumia kama mahali salama kwa watumwa wakati wa Biashara ya Watumwa.[3]