Mtumiaji:Ngapasa
Mandhari
Lugha |
---|
KWC | Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. |
KWC | Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009. (Submissions) |
Mimi naitwa Robert Kondrad Nchimbi nimezaliwa mwaka 1984 katika wilaya ya Mbinga iliyopo mkoani Ruvuma ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu cha Dar es salaam