Mtumiaji:Neeknd936

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Neeknd936 ni mmoja wa mtumiaji wa akaunti za wikipedia,jina langu halisi ni Nathan Daniel ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza .Nimependa nitumie jina la Neeknd936 kwa sababu nimotokea kumshabikia mwanamuzuki kutoka Canada aitwae The Weeknd.Mimi kiujumla napenda muziki nandiyo maana nimeamua kuchukua herufi kadha kutoka katika jinala mwanamuziki huyo maarufu sana duniani.