Mtumiaji:Mwampeta stanslaus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)Kwa majina naitwa Stanslaus Mwampeta, ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika chuo kikuu cha Da es salaam nachukua shahada ya sayansi ya uhifadhi wa viumbe pori. vilevile ni mmoja kati ya washindani wa kiswahili wikipedia challenge.