Mtumiaji:Muddyb/Maneno ya fasihi
1. Visual effects matokeo ya taswira
2. Art Directions maelekezo ya sanaa
3. Science fiction bunilizi ya kisayansi
4. Fantasy bunilizi ya kinjozi
5. Action film filamu ya mapigano
6. Action adventure filamu ya vituko
7. Action thriller sisimuzi / filamu ya mapigano
8. Action onyesho (ndani ya mchezo / tmathiliya) / mapigano
9. Live-action moja kwa moja (yaani lisilorekodiwa kabla)
10. TV series mfululizo wa TV
11. Make-up vipodozi
12. Costume design ubunifu wa maleba
13. Film score muziki ya filamu
14. Theme mada
15. Special effects matokeo maalum
16. Animator - pamoja na animation mtengenezaji wa katuni hai, utengenezaji wa katuni hai
17. Screenwriter au script-writer mwandishi wa michezo ya TV
18. Screenplay mchezo wa TV (pia hutumika kwa “soap opera”)
19. Playwright mwandishi wa michezo ya kuigiza
20. Drama drama / tamthili(y)a
21. Theatre na theatrical michezo (ya kuigiza) / sanaa ya maonyesho / thieta
22. Farce kichekesho
23. Tragedy tanzia
24. Satirical tashtiti / ya tashtiti
25. Closet drama drama faragha
Tanbihi: Kila ukionacho hapo juu ninajua maana yake na matendo yake hivyo-hivyo kwa Kiingereza, lakini huruma kwenye Kiswahili bado cheche!
MUZIKI
1. Single single / albamu ya wimbo mmoja
2. Opera opera (yaani mchezo wa kuigiza mwenye muziki); maana nyingine: mchezo wa TV (yaani ‘soap opera’)
3. Compose kutunga (pia composer = mtungaji)
4. Soundtrack kifereji cha sauti
5. Chronology wendo wa matukio