Mtumiaji:MmVenom/Taa za waridi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Taa za waridi ni mbinu inayotambulika ya kuzuia uzururaji kutoka Uingereza ambayo inazuia vijana kuzurura-zurura kwenye majengo ya umma kwa kuangazia chunusi na madoa ya ngozi kwa mwanga wa waridi. Tangu mwaka wa 2012, baadhi ya miji nchini Uingereza imeweka taa za rangi ya waridi karibu na maduka, na maeneo mengine ambapo vijana wanaonekana kuwa wasiotamaniwa.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://gizmodo.com/5893171/acne-enhancing-pink-lighting-used-to-deter-loitering-youths
  2. "Pink Cardiff street lights plan 'to deter Asbo yobs'", BBC News (kwa en-GB), 2012-03-05, iliwekwa mnamo 2022-11-26 
  3. Pink lights put off spotty teens (kwa en-GB), 2009-03-25, iliwekwa mnamo 2022-11-26