Mtumiaji:MmVenom/Sauti ya mwanafunzi
Mandhari
ĐSauti ya mwanafunzi ni mtazamo na matendo ya mtu binafsi na ya pamoja ya wanafunzi katika muktadha wa kujifunza na elimu.[1][2][3] Inatambulika shuleni kama mazoea ya kitamathali[4] na kama jambo la kipragmatiki (kushughulika na mambo kwa busara na uhalisia kwa njia ambayo msingi wake ni wa vitendo badala ya mazingatio ya kinadharia).[5]Mwalimu Dennis Harper alibainisha kuwa sauti ya mwanafunzi huwapa wanafunzi "uwezo wa kushawishi kujifunza kujumuisha sera, programu, miktadha na kanuni."[6]
Vitendo
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "archive.ph". archive.ph. Iliwekwa mnamo 2022-11-29.
- ↑ ~ Adam F. C. Fletcher (2015-04-13). "Tips on Action for Meaningful Student Involvement". SoundOut (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-29.
- ↑ Napier, Bonnie. Occupational Therapy Fieldwork Survival Guide: A Student Planner, 2nd Edition. AOTA Press. ISBN 978-1-56900-418-0.
- ↑ Britzman, Deborah P. (1989). "Who Has the Floor? Curriculum, Teaching, and the English Student Teacher's Struggle for Voice". Curriculum Inquiry. 19 (2): 143. doi:10.2307/1179406. ISSN 0362-6784.
- ↑ Bennett, Eric (2005-04-07), "Seattle, Washington", African American Studies Center, Oxford University Press, iliwekwa mnamo 2022-11-29
- ↑ Harper, Dennis (2003-08), "STUDENTS AS CHANGE AGENTS: THE GENERATION Y MODEL", Technology-Rich Learning Environments, WORLD SCIENTIFIC, ku. 307–329, iliwekwa mnamo 2022-11-29
{{citation}}
: Check date values in:|date=
(help)