Mtumiaji:MmVenom/Barting Over

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Barting Over ni sehemu ya kumi na moja ya msimu wa kumi na nne wa mfululizo wa vibonzo vya televisheni wa Marekani The Simpsons, kilichotanganzwa na Fox na kuoneshwa kwenye skrini kwamba ni kipindi cha 300 cha tamthilia hiyo ( ingawa katika mpangilio wa utangazaji, ni kipindi cha 302, kama ilivyoonyeshwa katika kipindi sahihi, na kipindi cha 301 katika mpangilio wa uzalishaji). Ilirushwa rasmi kupitia mtandao wa Fox wa Marekani mnamo Februari 16, 2003. Kwenye sehemu hii, Bart aligundua kua alikua mtoto nyota katika matangazo na kwamba Homer alitumia pesa zote alizopata. Kwa kulipiza kisasi, Bart anaomba mahakama imuachilie huru kisheria, na anaondoka nyumbani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]