Mtumiaji:Mimi Prowess/Umri wa Kupiga kura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Umri wa kupiga kura ni umri wa  chini ulioanzishwa kwa sheria kwamaba mtu awe nao kabla ya kustahili kupiga kura kwenye uchaguzi wa jamii.

Umri wa kupiga kura uliozoeleka ni umei wa miaka 18;[1] walakini umri wakupiga kura wa chini ya miaka 16 na juu ya miaka 25 kwa sasa upo. Nchi nyingi zimeweka  Umri wa chini wa kupiga kura , mara nyingi huundwa kwenye katiba.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Eybers, G. W. (1918). Select constitutional documents illustrating South African history, 1795-1910. University of California. London, Routledge.