Mtumiaji:Mimi Prowess/Sauti ya Mwanafunzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sauti ya Mwanafunzi ni mtazamo wa mtu binafsi na watu wengi na matendo ya wanafunzi ndani ya muktadha wa wa mafunzo na elimu.[1][2] Inajulikana mashuleni kama kisitiari na kipragmatiki. Mwalimu wa teknolojia Dennis Harper alibainisha kuwa sauti ya mwanafunzi inawapa wanafunzi “uwezo wakuhamisika kujifunza kwa kujumuisha sera, programu, muktadha na kanuni.”

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.soundout.org/article.104.html
  2. ~ Adam F. C. Fletcher (2015-04-13). "Tips on Action for Meaningful Student Involvement". SoundOut (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.