Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Mimi Prowess/Becky Burke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Becky Burke (Amezaliwa Desemba 20, 1989) ni Mmarekani ambae ni Kocha wa mpira wa kikapu kwa wanawake na mchezaji wa zamani. Kwa sasa ni kocha mkuu katika chuo cha Buffalo.[1]

  1. "UB women's basketball coach Becky Burke: 'I want to make sure I do this from the ground up' | College Sports | buffalonews.com". web.archive.org. 2022-04-08. Iliwekwa mnamo 2022-12-10.