Mtumiaji:Mgallah godfrey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Godanniel jina la kikazi lakini kwenye kitambulisho ni Godfrey Danniel Mgallah alizaliwa mnamo tar 02 january 1990 mkoani Arusha,kwenye familia ya mzee Danniel Mgallah na SUZANA KISONGELA kitaaluma huyu ni mwandishi na mtangazaji wa Tv na Radio taaluma ambayo ameipata katika chuo cha uandishi wa uandishi wa habari mkoani morogoro MSJ.Baba wa mzazi huyu ni mpare na mama yake ni Mkaguru wa Gairo mkoani morogoro na kwa elimu yake ya msingi ameipata shule ya msingi kilakala na kumaliza darasa la saba SHULE YA MSINGI MTUMBATU,GAIRO.Na elimu ya sekondari ameipata huko songea na kumalizia masomo yake ya advance mafinga mkoani Iringa.na kwasasa unaweza kumpats kiurahisi kupitia mitandao ya kijaa facebook.com/godaniel , twitter.com/godanniel , instagram.com/godannieltz na pia yyeye ni muongozaji wa website ya godannieltz.com na kwa upande wa mama yake tayari amefariki na kwa kiufupi ameekaa na mama yake kwa miaka zaidi ya 18 bila kumfahamu babayake na mpaka sasa hana mchango wowote kutoka kwa babayake na hii ni kwa wanawake tu huyu jamaa hana mke wala mtoto.na kwa sasa bado hajaanza kazi rasmi ila tarari ameshawahi kufanya kazi radio abood fm,na radio 5 Arusha hiyo ndio historia fupi ya kijana mwenye mvuto wa sauti na sauti yenye madalaka awapo studio.