Mtumiaji:LikamboisaacK/Mr Lengs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mr.Lengs ambaye majina yake halisi ni Alfred Lengo ni Msanii kutoka Sudan Kusini aliyeshinda tuzo nyingi katika mji mkuu wa Juba, Sudan Kusini [1] [2]

  Mr Lengs alianza safari yake ya muziki mwaka wa 2005 alipokuwa Uganda na kurekodi nyimbo kadhaa zilizovuma sana ambazo zilimsaidia katika tasnia ya muziki ya Sudan Kusini.

  1. Entertainment: Mr Lengs awarded Overall Artiste of the Year (en-US). Eye Radio (2015-01-26). Iliwekwa mnamo 2022-12-06.
  2. MR LENGS | THE HIT MAKER WITH NO HIT SONGS IN YEARS (en-US). Shabab Magazine (2020-05-15). Iliwekwa mnamo 2022-12-06.

[[Jamii:Watu walio hai]]