Mtumiaji:Laurenpitt522

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akina Mama wa Ngoma (Dance Moms kwa Kiingereza)[hariri | hariri chanzo]

Nembo

Akina Mama wa Ngoma, ou Dance Moms kwa kiingereza, kipindi cha televisheni cha ukweli cha Marekani. Kipindi cha televishnei inafnywa katika mji wa Pittsburgh, jimbo la Pennsylvania, nchi ya Marekani. Kingozi wa kipindi cha televisheni anaitwa Abby Lee Miller. Abby Lee Miller ni mwalimu wa ngoma, na yeye ndiye mmiliki wa ALDC. Kuna misimu minane ya kipindi cha televisheni.

Abby Lee Miller[hariri | hariri chanzo]

Abby Lee Miller

Abigale Lee Miller, ou Abby Lee Miller, ni mwalimu wa ngoma. Alizaliwa Septemba 2, 1965. Anatoka mji wa Pittsburgh, lakini anaishi mji wa Los Angeles, jimbo la Califronia. Yeye ni binti wa Maryen Lorrain Miller na George L. Miller. Maryen Lorrain Miller alikuwa mwalimu wa ngoma pia. Abby alisoma ngoma kwa mama yake. Alipokea shahada wa ngoma kwa ‘Dance Masters of America’.

Kuhusu Akina mama wa Ngoma[hariri | hariri chanzo]

Abby Lee Miller anataka wanafunzi wake washinde, na anawafanya wanfunzi wake kufanya kazi kwa bidii sana. Kila wiki, timu wansafiri mji mpya kucheza. Kina piramidi pia. Mshindi iko juu piramidi. Akina mama wnapigana sana.

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

Melissa Ziegler-Gisoni ni mama wa Maddie Ziegler na Mackenzie Ziegler. Binti wa Melissa, Mackenzie, anaimba pia. Wanatoka mji wa Murrysville, jimbo la Pennsylvania. Chrisit Lukasiak ni mama wa Chloe Lukasiak. Wanatoka mji wa Mars , jimbo la Pennsylvania. Holly Hatcher-Frazier ni mama wa Nia Frazier. Wanatoka mji wa Pittsburgh, jimbo la Pennsylvania. Kelly Hyland ni mama wa Brooke Hyland na Paige Hyland. Wanatoka mji wa Murrsyville, jimbo la Pennsylvania, kama Melissa Ziegler. Cathy Nesbitt-Stein ni mama wa Vivi-Anne Stein. Wanatoka mji wa Canton , jimbo la Ohio. Cathy ni mwongo na yeye ni ndiye mwovu, kwa sababu, yeye ni mwalimu wa ngoma pia. Anamiliki ‘Candy Apples Studio’. Jill Vertes ni mama wa Kendall Vertes. Wanatoka mji wa Cranberry Township , jimbo la Pennsylvania. Leslie Ackerman ni mama wa Payton Ackerman. Wanatoka mji wa Upper St. Clair, jimbo la Pennsylvania. Kira Girard ni mama wa Kalani Hilliker. Wanatoka mji wa Mesa, jimbo la Arizona. Jessalyn Siwa ni mama wa Jojo Siwa, Wanatoka mji wa Omaha, jimbo la Nebraska. Ashlee Allen ni mama kwa Brynn Rumfallo, Wanatoka mji wa Phoenix, jimbo la Arizona. Yolanda Walmsley ni mama wa Elliana Walmsley. Wanatoka mji wa Boulder , jimbo la Colarado. Stacey Ketchman ni mama wa Lilliana Ketchman. Wanatoka mji wa Fayetteville , jimbo la North Carolina. Camille Bridges ni mama wa Camryn Bridges. Wanatoka mji wa St. Louis, jimbo la Misouri . Jaime Caes ni mama wa Maesi Caes. Wanatoka mji wa Altoona, jimbo la Iowa.