Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Kitsao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mie ni Kitsao, Emmanuel Mashanga kutoka Kenya.Nina miaka 19 na mwanafunzi wa taaluma ya Uanabiashara na Teknolojia katika Chuo kikuu cha Strathmore.Niko katika harakati za kujiunga na mwaka wa tatu mwakani.Ninapenda sana lugha yetu ya Kiswahili, naivunia mbali na kuihadhi. Mimi ni mkazi wa mwambao wa Pwani, sehemu ya Kilifi na haswa Bamba.Sina makuu leo hii ila tu kukukaribisheni sote tutukuze Kiswahili!

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Strathmore.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)