Mtumiaji:Kibung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.

Mimi ni mshiriki katika mradi wa Health Speaks. Ninachangia kwa kuboresha baadhi ya makala zitakazotafsiriwa. Lengo la mradi huu ni kukuza idadi ya makala kuhusu afya kwa lugha ya Kiswahili.