Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Kibosho Singa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ligi ya Mabingwa Amerika Kusini Kireno inaitwa Copa Libertadores.

Ni michuano inayohusisha timu mabingwa na za nafasi ya juu katika ligi zao kutoka mataifa ya Amerika Kusini. Michuano hii inaasimamiwa na shirikisho la soka Amerika Kusini CONMEBOL tangu 1960.