Mtumiaji:Kandy fancy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Neno tafsida lina kisawe tauria. Tafsida ni mojawapo wa tamathali za semi za lugha ya Kiswahili. Ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali, matusi au fedheha na lugha tovu kiadabu.Tafsida hutumika hususan katika mazungumzo na hata uandishi wa kifasihi kama vile kwenye riwaya, hadithi fupi, tamthilia na ushairi.