Mtumiaji:Kamauchege

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki (ind.) katika Shindano la WP ya Kiswahili la 2009. (Submissions)
Jina langu ni Kamau Chege. Mimi ni mzaliwa wa Murang'a, Kenya kwenye milima ya Aberdares.

Nimemaliza digrii yangu katika masomo ya Tarakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi. Sasa nafanya kazi na kampuni moja ya kiswidi iitwayo Momenta[1].

Ujuzi wangu ni Uhariri na Utafsili wa Lugha za Kiafrika kwa kutumia Tarakilishi.

sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.