Mtumiaji:Kamarster

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Daniel Kamar ni mwanabiashara jijini Eldoret katika mkoa wa Rift Valley hapa nchini Kenya. Kama wenzangu nimefaidika pakubwa na Wikipedia katika kufanya utafiti na ningependa kuchangia katika jumuia hii ili wengine wafaidike pia. Natumai kuendeleza kanuni za Wikipedia na kukutana na waandishi wengine katika ulimwengu wa tovuti.

Kiswahili ni lugha yangu ya pili na ni jambo zuri kuona kuwa takriban watu milioni 100 wanaozungumza Kiswahili nje na ndani ya bara la Afika wataweza kupokea Wikipedia katika lugha wanayoielewa kwa ufasaha. Ni furaha kwangu kuchangia katika Kamusi elezo huru.

KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)
(for individuals)