Mtumiaji:Kabinyau joseph

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

mimi ni mwanafunzi wa shule ya ALFAGEMS SECONDARY SCHOOL kidato cha tano 2020-2022. Kwa jina kamili na fahamika kama JOSSEPH JUVENAL.Katika maisha sisi binadamu hasa sisi waafrika tuna uwezo mkubwa wa kufanya mambo yenye kubadilisha maisha yetu.Ila tatizo uoga ndio shida utajiuliza maswali mengi kuwa wengine watanichukuliaje? na pia maneno ya watu yanatufanya tushindwe kuendelea. Hivyo tunapaswa kufanya kile tunachoweza bila kuhofia jambo au mtu yeyote,pia tutumie vipaji tulivyonanvyo ili kujipatia kipato na sio kusubiria ajira kutoka serikalini.