Mtumiaji:Jumanne Mwita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jumanne Amos Mwita

Jumanne Amos Mwita (Tanzanian Peasant)
Muda wa Utawala
26 April 2013 – Novemba 2022
Mkurugenzi Mjomba Investimen Co.Ltd (2018)
(April –2019)

Credit Officer
Maswi Credit Company Limited
Muda wa Utawala
Februari 2017 – Aprili 2019

tarehe ya kuzaliwa 6 Juni 1995 (1995-06-06) (umri 28)
Bunda, Musoma, Tanzania
utaifa Mtanzania
mahusiano Married
watoto 2
makazi Katoro, Geita
mhitimu wa Form-Four
Fani yake Mkulima
dini Mkiristo
tovuti Kigezo:Blogger
Nickname(s) Bhoke Nyanswi

Asili[hariri | hariri chanzo]

Amezaliwa 6 June, 1995 katika kijiji cha Nyantare, Kata ya Guta, Tarafa ya Guta, Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara.

Lugha anayozungumza ni Kikurya. Na Kiswahili na Lugha ya Kibiashara.

Alizaliwa katika familia ya Wakulima Masikini. Babu yake Mzee Mwita Machage alikuwa Mfugaji na Mkulima huko Mkoa wa Mara Wilaya ya Bunda.

Jumanne Mwita amesimulia Hadithi yake ya kifamilia wakati Mama yake alipokuwa Mja mzito, bibi yake alitamka kuwa ikiwa atakuwa mama atazaa mtoto wa mwisho kama akiwa wa kiume atampatie Urithi wa cheo chake mpaka jina lake.


Jumanne aliposoma Shule ya Sekondari Nyasubi alikuwa ni mtu asiye na furaha kwa sababu hakujua hatima yake itakuwaje kwa sababu ya mahitaji ya shule vilevile ada kwa ujumla ndicho kilichokuwa kikimsibu matokeo yake akaacha shule akiwa Kidato cha kwanza ni Mwanafunzi ambae alikuwa akipenda shule toka akiwa mdogo.

Historia ya maisha yake kwa ufupi[hariri | hariri chanzo]

Jumanne Amos Mwita alizaliwa siku ya Jumanne Tarehe 06 June 1995 katika kijiji cha Nyantare, Wilaya ya Bunda Vijijini huko Musoma, Mkoa wa Mara, nchini Tanzania. Ni mtoto wa 3 kati Watoto 3 wa Nyanswi Mwita Machage, Kabila ni mkurya.

Alibadili jina kuacha kuitwa Bhoke Nyanswi Mwita baada ya kuona haliendani na jinsia yake akabadili kwa kuapa Mahakamani basi alifanya hivyo kwa kuapa mahakamani mpaka sasa anatumia jina la Jumanne Amos Mwita kiharali.

Masomo[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 20032009 akasoma Shule ya Msingi Mbulu, Mwaka 2010 Shule ya Sekondari Nyasubi Sec School Kahama, halafu

Baada ya kumaliza shule ya msingi alichaguliwa kwenda Kidato cha Kwanza katika Sekondari, ya Nyasubi aliendelea kusoma Elimu yake ya Sekondari kwa muda wa miezi 4 tu baada ya hapo aliacha shule sababu ikiwa ni kushindwa kulipia Ada. Baada ya kukoswa ada aliachana kabisa na maswala ya Shule na badala yake alijikita zaidi katika Ufundi ujenzi kama saiadia fundi na vilevilevile aijifunza pia ufundi seremala. fundi viatu], ufundi wa kupauwa yaani kugonga bati Nyumba

Kazi yake kuu?[hariri | hariri chanzo]

Ni mfanyakazi na mwajiriwa katika kampuni ya kutoa Mikopo iliyosajiliwa nchi Tanzania kiharali. kampuni inaitwa Maswi Credit Company Ltd ambayo amehudumu kwa taklibani miaka 5 kuanzia 2013 hadi 2017 baada ya kuanzisha kampuni yake wakishirikiana na wakurugenzi wenzake ambao ni Jennifer Nkoba na Deus Mgesi.

Kampuni![hariri | hariri chanzo]

Pia Jumanne amewahi kuwa mmoja wa wakurugenzi na mwanzilishi wa kampuni iitwayo Mjomba Investment Company Limited. Kampuni hiyo ilidumu katika kipindi cha miaka 3 ilikuwa ikitoa huduma ya mikopo kwa wajasiliamali na wafanyakazi wa Serikalini