Mtumiaji:Jumanne K.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

KABILA LA WAZINZA
Wazinza ni moja ya makabila yanayopatikana Tanzania hasa mwambao wa Ziwa Victoria. Wengi wao ni wavuvi, wakulima wadogowadogo wanaojishughulisha na kazi hizo kwa ajili ya kuendesha maisha yao ya kila siku.

            Vyakula.

Wazinza hupendelea zaidi kula vyakula asilia kama vile ugali ( wa mhogo, mtama, mahindi), mihogo, viazi vitamu, samaki (dagaa, sato, sangara, mbete, kamongo, mumi, nshonzi). Baadhi ya majina ya samaki yanatokana na lugha hii asilia. Lakini pia kutokana na mgawanyo wa makazi na kazi, wazinza wamekwenda mabali kidogo katika tamaduni ya vyakula mfano wali, mboga za majani, maharage,kunde, njegere n.k. Itaendelea.....